Usipoteze Maisha Yako
Kila usiku nilikuwa nikijiuliza kwamba; Kwanini mpaka sasa sijafikia mafanikio ninayoyahitaji? Mbona najiona nipo nyuma sana? Ni sehemu gani hasa sifanyi kwa ufanisi? Kitabu hiki kinaelezea majibu ya maswali yangu.
- 3 min read
- Swahili
- 2026